Kutakuwa na waimbaji wa nyimbo za Injili
mbalimbali wakiongozwa na Rose Muhando. Waimbaji wengine watakao hudumu katika
Tamasha hilo ni Janeth Mrema, Sifa John, Addo Novemba, Faraja Ntaboba,
Christina Matai, Stela Joel na wengineo.
Hakutakuwa na kiingilio ila watu wote
mtakao hudhuria Tamasha hilo mnashauriwa kuja na zawadi mbalimbali kama vile
nguo, viatu, daftari, karamu, chakula na nyinginezo kwa ajili ya kusaidia
watoto yatima kwa kadri mtakavyoguswa.
0 comments:
Post a Comment