Wednesday, March 5, 2014
Monday, March 3, 2014
AMBASSADORS OF CHRIST KUREKODI ALBAMU MPYA
Ile kwaya inayofahamika sana nchini kwao Rwanda na kwingineko Africa Mashariki na duniani kwa ujumla Ambassadors of Christ "Kwetu Pazuri" imekamilisha kazi ya kuingiza sauti kwa ajili ya albamu yao ya kumi.
![]() |
Sarah Uwera akiingiza sauti |
![]() |
Nelson Manzi akiingiza solo yake kwa hisia. |
![]() |
Ambassadors kwa pamoja wakiingiza sauti zao |
Saturday, March 1, 2014
TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU
Ile Siku ya Tamasha la Kusifu na Kuabudu imewadia. Ni Jumapili hii tarehe 2 Machi 2014 katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Mwanza.
Ndugu wote katika Yesu Kristo Tamasha hili linawahusu. Njooni tusemezane, tumsifu na kumwabudu Mungu.